Dkt.SHEIN ASEMA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA YA ZANZIBAR HAITAVUNJIKA BAADAYA UCHAGUZI-2015

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduizi Dr. Ali Mohamed Shein amewahakikishia watanzania wanaoishi nje kuwa matokeo yeyote ya uchaguzi wa serikali yaumoja wa kitaifa haitovunjika kwa vile imo ndani ya katiba.


Taarifa ya Ikulu Zanzibar na sisi kupata nakala hiyo Dr Shein ametoa tamko hilo huko ujerumani ambapo yuko katika ziara ya kiserikali  naametoa tamko hilo wakati akizungumza na watanzania wanaosihi huko ambapo alikuwa akijibu maswali ya watanzania hao na kusema wanaoweza kiuvunja ni wananchi wenyewe na ipo kwa ridhaa za wazanzibari.
 
Akizungumzia hali ya uchumi Dr Shein amemsma hali si mbaya naserikali inafanyakila jitihada kukabilaina na kuwatumikia wananchi katika sekta mbali mbali huku akiwataka watanzania hao kutumia fursa wanazozipata naye nje kuitumika pia nchi yao, naye mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania wanaoishi Ujerumani-UTU- Mfundo Peter Mfundo  amesema umoja huo unaa wanachama 360  na wamepania  kuhakiksha wanaitangaza Tanzania na kuishi kwa amani na utulivu.
 
Dr Shein na ujmbe wake pia wakiwa huko walipata fursa ya kuona maonyesho ya utamaduni na picha ya Zanzibar na pia kupata fursa ya kutembelea kiwanda cha magari yaaina ya Benz na wako katikaziara ya siku nanae ambayo inamalizika jumanne.

0 maoni:

Post a Comment