Harmonize alifanya video ya ‘Aiyola’ Afrika kusini,imeshakamilika.

harmonizerr
Msanii wa kwanza kupewa rekodi dili chini ya wasafi na kuwa msanii wa kwanza anayesimamiwa na Diamond Platnumz ‘Harmonizer’ amesema video yake ya kwanza kwenye lebel hio ‘Aiyola’ imekamilika.
Director aliyefanya video yake ni muongozaji aliyefanya video kama Dorro Bucci ya Marvins, Love Boat ya Kcee na Diamond Platnumz.
Video hio ikikamilika inategemewa kutambulishwa kwenye vituo vikubwa Afrika kama MTV na Trace Urban,

0 maoni:

Post a Comment