Watu watatu wamelazwa katika hospitali teule ya Shirati wilayani Rorya Mkoani Mara baada ya kujeruhiwa vibaya katika ugomvi ambao unadaiwa kuhusishwa na kampeni za kisiasa za wagombea wa ubunge wa chama cha mapindizikatika jimbo la Rorya mkoani Mara.
Mmoja wa majeruhi wa tukio hilo, amesema walishambuliwa na chupa huku wakitishiwa kukatwa mapanga muda mfupi baada ya kumalizika mkutano wa kampeni za CCM katika eneo hilo.

0 maoni:
Post a Comment