Familia moja eneo la Kakamega Magharibi mwa
Kenya imenusurika kifo baada ya kusafirisha jeneza bila
maiti kutoka Nairobi hadi nyumbani kwao
Kulingana na familia hiyo chini ya mwenyekiti wa mipango ya
mazishi Ernest Musikhu walielekea
katika chumba cha maiti cha hospitali hiyo, ili kuubeba mwili wa mwanao wa
miaka mitatu,…wakahakikishiwa kubaki na mwili huo ndani ya jeneza lao kabla ya
kufunganya safari, na walipofika nyumbani walibaki na mshangao kugundua kuwa
jeneza hilo lilikuwa bila mwili.
Musikhu amesema nusura wenyeji waliteketeze gari lilokuwa
limekodishwa wakitaja tukio hilo kama laana kwa jamii .
Hata hivyo baada ya kuwasiliana na usimamizi wa
hospitali hiyo walilezwa walitakikana kulipia ada ya hospitali
ya shilingi laki moja unusu ili mwili kuruhusiwa kuzikwa.
0 maoni:
Post a Comment