WAISLAM WOTE LEO KUENDELEA NA MFUNGO LEO HADI IJUMAA ...MWEZI BADO HAUJAONEKANA!!!!


Taarifa iliyotolewa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhaj Musa Salum zimesema mwezi haujaonekana hivyo Waislam nchini waendelee na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

0 maoni:

Post a Comment