Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dokta SHUKURU KAWAMBWA amevitaka vyama vya jogin wilayani BAGAMOYO kuendelea kukukemea na kulaani baadhi ya watu wanaojihusisha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi alibino pamoja na vikongwe katika maeneo mbalimbali hapa nchini.
Dokta KAWAMBWA ametoa Rai hiyo mjini BAGAMOYO wakati akitoa vifaa vya michezo kwa vikundi vya jogin vya wilaya hiyo ambapo amesema suala la ulinzi wa watu wenye ulemavu ni la muhimu na kila mwana jamii analojukumu la kuwalinda alibino na si kuachia serikali pekee.
0 maoni:
Post a Comment