PICHA NYINGINE ZAIDI ZA BAADHI YA MATUKIO YALIYOTUKIA KWENYE BSS 2015!!!

Historia imeandikwa kwa mara nyingine Dar es Salaam usiku wa kuamkia October 10 2015, hii ni siku nzuri na ya kumbukumbu kubwa kwenye Burudani Tanzania, Kayumba Juma anaziandika Headlines kwenye burudani Tanzania baada ya kuibuka na ushindi wa Kitita cha Milioni 50 kwenye Season 8 ya Bongo Star Search 2015.

Najua ilikuwa LIVE kwenye baadhi ya TV Station ikiwemo Clouds TV, lakini ninazo na pichaz pia kama hukuishuhudia Burudani ya Fainali unaweza kucheki kwenye hizi pichaz nyingine mtu wa nguvu.

3X6A0959 

3X6A1084 

3X6A1149 

3X6A1155 

3X6A1180

 3X6A1191 

3X6A1220 

3X6A1248 

3X6A1283 

3X6A1286 

3X6A1291

3X6A1312 

3X6A1321

  3X6A1329

0 maoni:

Post a Comment