Picha,Drake atengeneza T Shirt kutangaza wimbo..!!!

 drake_press-2013-650b
Sio bongo tu tunatengenea T Shirt ilikutangaza muziki wetu au nyimbo mpya. Rapa Drake ametumia chapa yake ya OVO kutengeneza T Shirt na kofia za wimbo wake mpya wa “Hotline Bling.”.
T Shirt niza rangi ya Pink na zimeandikwa  “1-800-HOTLINEBLING” na zinauzwa dola $50 kwenye tovuti ya OVO.
drake 2 drake

0 maoni:

Post a Comment