Rapa Wale ambaye yupo lebel moja na Meek Mil ya ‘MMG’ ameongelea beef kati ya Meek Mil na Drake nakusema ” Meek Mill ametumia penseli kwenye pambano la bunduki “.
Wale anasema “nilijaribu kumpigia simu Meek Mill mara kadha ila hakupokea na hatujaongea kwa muda mrefu sasa ndio maana sijui kinachoendelea“.
Wale anakubaliana na baadhi ya raia kuwa haikuwa sawa kwa Meek Mil kufanya beef na Drake. Wale amasema “ Nadhani Meek alikuja na penseli kwenye pambano la bunduki, hata hajaja na kisu, kaja na penseli na karatasi kabisa, akajaribu kumkata na karatasi, huwezi kushindana na mtu kama Drake”
Wale aliongezea kwa kumsifia Drake kwa kutoa diss track zake kwa faida zaidi kupitia mtandao wa Apple wakati Meek Mil alitoa kupitia kipindi cha radio cha Funkmaster Flex.
Meek Mill aliandika maneno haya Istagram kama ishara ya kuchukizwa na interview ya Wale
” Niggas b doing all this to drop a new record gossiping about they hoe ass feelings and they personal life because they miserable and nobody don’t rock wit them! Really stay away from me Fam! U not MMG NOMORE! This why u can’t get my number you a hoe!


and u dead cracked right now @wale foh nuttttt! I wasn’t even mad at you Fam u got some real issues with yaself and you jealous! Broke rapper! This my last time I think addressing shit on the Internet …. But if I don’t talk about it one of you dudes gone get hurt speaking my name like it’s sweet! Y’all niggas gone stop mentioning my name like it ain’t no consequences…. I’m off this internet! I don’t speak on Mmg in interviews unless it’s good! U a clown … We don’t wanna hear you nomore Fam! Go jump off a roof like u been tryna do chump! He not MMG IM MAKING THAT CALL … He been tryna call me saying Rozay owe us money… He don’t owe me shit and if he do I’ll get it later …. Go that away! ”
0 maoni:
Post a Comment