Lady Gaga na mchumba wake Taylor Kinney kufunga ndoa nchini Morocco.

lady gaga
Mchumba wa pop staa Lady Gaga ‘Taylor Kinney’ anakuja na Gaga nchini Morocco ili wafunge ndoa nchini humo.
Mwigizaji Taylor Kinney ’34’ amesema anataka kuja North African nchini Morocco na kumvalisha pete ya ndo mchumba wake ambaye ni msanii Lady Gaga sababu ndio eneo aliofanyia filamu yake ya Rock the Kasbah.
Taylor na Lady Gaga walikuwa wapenzi kwa miaka minne mpaka walivyovalishana pete za uchumba mwanzoni mwa mwaka huu.

0 maoni:

Post a Comment