ALL WHITE PARTY USIKU WA KUAMKIA LEO
Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City .
Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City.
Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini .
Wasanii wa Yamoto Band wakiwa wametulia tayari kwa shoo.
Baadhi ya mabango waliyokuwa nayo mashabiki wa Diamond.

Ndani ya ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam,All White Party
![]() |



Hadija Kopa akifanya yake
Nay na Diamond
Burudani Inaendelea
via Global Publishers Info
0 maoni:
Post a Comment