MTV Base wametaja majina 10 MC’s wakali zaidi Afrika Kusini mwaka 2014 ‘The Hottest MCs of 2014’.

Mc

Kituo kikubwa cha muziki Afrika cha MTV Base kimetingisha hiphop baada ya kutoa orodha yao ya Ma Mc wakali zaidi wa mwaka 2014.
Uchambuzi ulifanywa na Vj wa MTV Base VJ Sizwe Dhlomo na dj na watangazaji wengine wakubwa South Africa.
MTV Base presents The Hottest MCs of 2014:
1. K.O
2. Cassper Nyovest
3. AKA
4. Khuli Chana
5. Riky Rick
6. Reason
7. Kid X
8. Da Les
9. Kwesta
10. Maggz

0 maoni:

Post a Comment