Picha,Tinashe kapiga picha za jarida la Playboy,ziko hapa.

Tinashe_HERO
Rnb staa Tinashe atang’arisha baadhi ya kurasa za jarida la Play Boy kwa picha za pozi tofauti. Tofauti na mastaa wengine Tinashe hajaviangua zake na anaonekana akiwa amevalia nguo tofauti kwenye picha hizo.
Mwanzoni mwa mwezi huu alitoa wimbo wa Play akiwa na rnb staa mwenzake Chris Brown.
tinashe-playboy-1 tinashe-playboy-2 tinashe-playboy-3

0 maoni:

Post a Comment