.....Kamakwaida kesho siku ya jumamosi usikose kusikiliza kipindi chako pendwa Sauti Ya Vijana
Kipindi ambacho kinaangazia masuala yote yanayohusu vijana....Kesho kumbuka tutakuwa na Vijana was Chuo Cha Mafunzo ya Ufundi Shinyanga -VETA....
Ungana nami Yohana Emmanuel pia mwenzangu Malaki Philipp......... Ni hapahapa The Sound Of Africa .....RFA..!!!!
0 maoni:
Post a Comment