Bongo fleva super staa Diamond Platnumz anasema ataweka picha za mtoto wake tu wiki hiikwenye kurasa yake ya Istagram na baada ya hapo tutegeme hit song nyingine kutoka kwake. Hii inaweza kuwa nyimbo yake ya kufungia mwaka, swali ni je inatoka na video au audio tu.
0 maoni:
Post a Comment