DRAKE
Mapema leo palikuwa na taarifa zilizokosema kwenye mitandao tofauti ya habari duniani. Habari hii ilisema kuwa rapa kutoka Canada Drake amepata ajali mbaya mjini Los Angeles na kufariki dunia. Mitandao hii ni pamoja na Yahoo News, CNN, na Buzzfeed.
Mwanzoni mwa mwaka huu wasanii kama Akon, Jackie Chan, na Avril Lavigne wameripotiwa kuwa walifariki dunia na haikuwa kweli.
0 maoni:
Post a Comment