Tunamjua Rihanna wa sasa hivi, wa zamani alikuwaje?? 50 Cent je? Nicki Minaj,Drake, Chris Brown..
Nimezikusanya picha hizi za wasanii hawa 15 wa Marekani kabla na baada ya kuwa maarufu.

Rihanna.. Picha ya kwanza ni zamani akiwa kwao Barbados huko. Kabla hata ya ustaa.

Lil Wayne utotoni na ukubwani yani. Hapo kabla hata hajaujua vizuri mtaa.

50 Cent

Mrs. Carter.. Mama Blue Ivy.. Beyonce

Alicia Keys

Rapper Drake

Kanye West kwenye mwonekano wa zamani na wa sasa hivi.

Gucci Mane

Nicki Minaj

Chris Brown upande huu na mama yake, picha nyingine yuko na suti yake ukubwani sasa.

Rapper Jay Z.. Enzi za ujana na enzi hizi za utu uzima wake.

Rapper na mwigizaji Ice Cube

Calvin Cordozar Broadus Jr a.k.a Snoop Dogg

Mkali mwingine Marekani, Pharell Williams kwenye mwonekano wa zamani na sasa.

Missy Elliot
0 maoni:
Post a Comment