Hii ni taarifa yake:
Kinana atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Profesa Mtulia
Tuesday, December 06, 2016
No Comment
Katibu wa chama cha Mapinguzi Abdulrahman Kinana ametoa salamu za
rambirambi kwa aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani Mwishehe Shaban
Mlao kufuatia kifo cha Idriss Ally Mtulia kilichotokea tarehe 5 Disemba
jijini Dar es salaam.

Hii ni taarifa yake:
Hii ni taarifa yake:
0 maoni:
Post a Comment